Mama mkwe, acha mwanao aolewe usimchagulie mume

Mama mkwe, acha mwanao aolewe usimchagulie mume

Jamani wana JF mahusiano sasaivi yamekuwa kama mpira wa miguu yana usajili na refa ree. Refa ni mama mkwee mana anaweza sema ni penalt au faulu ila wanaharibu sana watoto wao wa kike

Kwanza akisha jua huna pesa au unamaisha ya kawaida anamwambia mwanae tulia muda bado 🤣🤣🤣 Akiona unapesa atasema mwanangu changamkaaaa asiibiwe. Ukiona umetambulishwa ukweni na ukakubalika jua mwanamkee alishaanza mjaza mama yake ujinga
ili akukubali, yaani wazazi wa upande wa kike wanapoteza watoto wao kwa ujinga tu pasipo kujua maisha ni safari na kuna leo na
kesho

Ukienda ukweni na gari yako utachinjiwa kuku. Sasa we nenda kwa mugu uone utapikiwa chai, yanii wanawake after money mama mkwee after money. Ndio sababu mi simwambia mwanamkee maisha yetu yakoje au tupoje hata mambo yangu huwa namficha hata nimpende vipi ili badae akija jua ashangae

MAMA MKWEE SHIKAMOOOO
Ukipenda ki ukweli kweli utahonga hata Wilaya kama meko
 
Mama wakwe ni wajumbe

Nimeachana na binti niliyeamini ntamuoa kisa fitna za Mama mkwe. Nimejifunza nnapooa lazima niangalie Mama Mkwe anaakili na hekima kiasi gani kumsaidia mtoto wake, kiushauri.
 
Back
Top Bottom