Mama mjasiriamali anahitaji msaada wa mwavuli

Ova

Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
46
Reaction score
31
Habari wanajamvi,

Kuna mama mmoja ameniomba nimtafutie mwamvuli kwa ajili ya kumkinga na jua katika biashara yake anayofanyia pembezoni mwa barabara, kutokana na majira ya sasa jua kali.

Kwa wenzangu mliopo katika makampuni ya simu(airtel,tigo.n.k hiyo miamvuli huwa inapatikana kwa gharama gani?

Mwenye nao aje inbox!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…