Mama mjamzito ajifungua mayai 2 Tabora

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
65
Mama mjamzito ajifungua mayai mawili badala ya mtoto katika hospitali ya misheni ya Ndala- Nzega, Tabora. Habari zinasema ya kuwa mama huyo alikuwa anahudhuria kriniki kama kawaida na siku zilipofikia za kuzaa alipelekwa hapo na kulazwa ili kusubiri kuzaa. Cha ajabu alipopelekwa labour alijifungua mayai mawili badala ya mtoto/watoto.
 
Naomba uweke picha husika ya hilo tukio, then story yenyewe !!!! la sivyo hamisha hii topic kwenda Habari mchanganyiko au JF Doctor plzzz.
 
Duh yaani Tz tunatia aibu ni mambo ya ushirikina tu usiokua na tija, sasa si bora angetagishwa yai la dhahabu kama story ya The Goose who lay golden egg 😛ray: Mungu atusamehe sijui ni lini tutaamka toka usingizini.
 
Hii ni evolution jamani, muda si mrefu wake zetu watakuwa wanataga mayai na kuendelea kuchapa kazi (50/50) kisha mayai kuanguliwa na mashine! Hii itakuwa nzuri sana na itapunguza mateso kwa mwanamke na kuongeza muda wa kufanya kazi.
 
you can say that again?!!
 
nilisikia kwenye vyombo vya habari yest nikabaki na mshangao
 
Pole sana kwa huyo Mama, haya ni maajabu kweli! Sijui mayai hayo ni size gani? Na hayo mayai yamehifadhiwa wapi???
 
Haya kweli maajabu! pole kwa huyo mama!
 
.........Hapa sasa ndio mtu utaona umuhimu wa kupata huduma ya ultrasound kipindi cha ujauzito ili ujue umebeba nini, lakini kibongo bongo huduma hii ipo kwa wachache wenye pesa. Maskini mama wa watu kateseka miezi 9 kumbe kabeba mayai.......Ehhhhhhhh!!
 
Ultra Sound Itaweza kung'amua Mambo ya Giza kweli
 
Hii habari iko kwenye gazeti la mwananchi. Lakini ukiisoma kwa makini na kujaribu kutumia 'ubongo' wako utaona kuna kitu kama utapeli hivi kutoka kwa huyu mama... Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini vitu vya kipuuzi kama hivi
 
this....
 
Pole sana kwa huyo Mama, haya ni maajabu kweli! Sijui mayai hayo ni size gani? Na hayo mayai yamehifadhiwa wapi???

watakuwa wameshagongea chipsi...bila shaka ni ya size ya kuku...chipsi mayai safiiiii....anashushia na mountain dew maisha yanaendelea
 
watakuwa wameshagongea chipsi...bila shaka ni ya size ya kuku...chipsi mayai safiiiii....anashushia na mountain dew maisha yanaendelea

haahaha imebidi nicheke,ingawa sio ya kucheka ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…