wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,549
Baada ya kutoa thread ya polisi m.shenz ambapo niliitwa mbea na maneno mengi yakatolewa dhidi yangu,leo tena nimekuja na mpya.
Ni kawaida sana sisi waandishi kuitwa wambea,wakuda,wanafiki na n.k,hiyo ndio kazi yetu we don't care anyway.
Mama miwani (si jina lake halisi) ni mama hatari mkazi wa kijiji cha Ilogi ktk wilaya ya Kahama.Neno ilogi ni la kisukuma likiwa na maana ya "mchawi"(nitaelezea siku nyingine kuhusu kijiji hiki).
Mama huyu ambaye nilipata kumfahamu tangu akiwa Musoma,alifukuzwa hapa Musoma kwa tuhuma za uchawi ndio akakimbilia Ilogi ambako hata baada ya kufika huko tabia yake hakuiacha.
Katika tukio moja la kifo cha utata cha mtoto wa miaka 8 ambaye alifariki ghafla na akawa anainuka na kuendelea kufa ambapo mimi ni shuhuda,mama huyu alihusishwa na tukio hilo kwa ushahidi dhahiri.
Ni mwanachama mwaminifu wa chama kinachojiona ndio mungu mtu wa Tanzania,kijiji kizima cha Ilogi kina habari zake na alihusishwa na mauaji ya mlinzi wake ambapo inasemekana amemficha msukule.Ana jumba kubwa linalotisha hata mchana.