Kudadeki kanisa lake bongo lipo wapi au siku akija bongo lazima nitafute atakapo lala nimuombe mkesha wa maombi![]()
Anaitwa muhubiri/Mchungaji Latascha Emanuel kutoka marekani....Amakweli ni wakati wa wanawake kuongoza katika makanisa ili upate UPAKO!!!
Upako nje-nje. lol!