engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
hii balaa mme wake anashuguli
hlo pipa kama la pombe duu
maandalizi ya komoni
sogea uone cha moto
sudan kusini
sogea uone cha moto
Haibiwi mume wa mtu hapo
linaonekana ni la gongo hilo maana jiuc ile mbayaaaa
hii si sawa aisee..... wanawake wana kazi ngumu sana.. hapo utakuta mumewe katulia tuli ndani.. cc.. sister, Heaven on Earth, miss neddy, charty, Sista n Ennie.. jamani oneni mwanamama mwenzenu hapaa!!
unaweza kuta mume anapiga champumu na tena ni ya mkopo akisubiria pesa toka kwa mama mchapa kazi