Mama mbaroni kwa kuua kichanga chake

Mama mbaroni kwa kuua kichanga chake

Sipati picha mwanamke ukitoka kujifungua kisha ukae kwa siku kadhaa bila kuoga.

Wakati mmoja niliwekwa central flani hivi na mdada ambae alitoka kujifungua ila hajakandwa wala kuoga....aliumuka na kujaa na baada ya siku 4 za mateso yule dada alifariki huku akiwa kama kaoza.
So sad...R.I.P Edina Patrick japo tulifahamiana Police ila kifo chako kiliniuma sana.

stry yako imenitia simanzi ila nimesoma yuku nacheka kwakweli madame ww sikuwez...chanzo cha kuwa huko ni nn 😂😂 i bet🍻🍻🍻
 
Uwiiiiii, sisomi tena huu uzi, unchungu mkali sana
 
stry yako imenitia simanzi ila nimesoma yuku nacheka kwakweli madame ww sikuwez...chanzo cha kuwa huko ni nn 😂😂 i bet🍻🍻🍻
We acha tu mwaya.
Kuhangaika na dunia huku najikuta niko ndani.
Kesi ambayo sitaisahau ni ya kule Stakishari.
Maana ilibidi boss wangu wa wilaya aje kuhakikisha kama ni mie niko pale ndani na kesi ile ni yangu.
Nashukuru Mungu, nilitoka salama japo nilitumia mali za uma kwa mwezi mmoja
 
😂😂😂😂😂😂madame ww umekwepa mishale jaman..khaa!mm hata kuitwa tu kwa mwenyekiti sijawah itwa😂😂kweli maisha ni kitendawili..pole sana!yaan ww madame popote unaishi ..kama mie!nikiamua kuwa modern woman nakua..nikiamua kuwa primitive fulan nimoo🤕🤕
 
Hahahahaha
Shoga angu, maisha haya acha tu
 
Back
Top Bottom