Mama Maria na uniform yake. Amejiunga CHADEMA!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Maria na uniform yake. Amejiunga CHADEMA!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nonda, Feb 28, 2011.

 1. N

  Nonda JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,166
  Likes Received: 1,823
  Trophy Points: 280
  Mama Nyerere alivitaka vyama vya siasa kushirikiana katika kulijenga taifa la Tanzania, ambalo bado linahitaji umoja.
  Mama Maria alisema kuwa vyama vyote vya siasa vina lengo la kujenga nchi, hivyo hakuna haja ya kupigana kwa sababu ya vyama kwani kwake yeye vyama vyote vya siasa ni sawa na haoni kama kuna tofauti. “Mimi ni mama wa taifa hivyo vyama vyote kwangu ni sawa, hakuna tofauti kwani wote ni wamoja,” alisema Mama Maria Nyerere.
  :: IPPMEDIA

  Naona mama amepiga suti yake ya KIJANI huku anazungumza na MAKAMANDA.
  Jee anatarajia kuwa Makamanda wataufanyia kazi wito wake?
   
 2. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mama anazeeka taratibu mwacheni
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,465
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160
  Aaa! Wapi. Hawawezi kuufanyia kazi kwa kuwa haulengi kuhamasisha vurugu.
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Mwacheni mama jamani...nakumbuka mbali....
   
Loading...