Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,132
Mama lowassa anastahili tuzo kwenye hizi kampeni
hana lolote na ushindi wa magufuli ni lazima hata kama wakija akina mama lowassa na wengineMama Regina Lowassa, jana aliunguruma huko Ilemela- mkoani Mwanza. Mkutano ambao ulijaza watu na kufanya baadhi ya watu kukosa nafasi. Ikumbukwe kuwa Magufuli alipita huko wiki iliyopita akutegemea kama alivyoondoka kuna mtu angekuja kuwamaliza CCM.
CCM WAMESHAPOTEZA KANDA YA ZIWA
View attachment 301897
Kwa nia njema tu na kama siko sahihi nifundishe na nitakubali.Ni kwa nini baadhi ya viongozi wa jinsia ya kike waume zao hawaonekani wakiwa pamoja hata kwenye minuso ya kitaifa au hawajulikani kabisa
hana lolote na ushindi wa magufuli ni lazima hata kama wakija akina mama lowassa na wengine