Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,180
Mama lowassa anastahili tuzo kwenye hizi kampeni
Yaani huyu mama huwa nikiona harakati zake nafurahi mno nakiwa nawaza hivi mke wangu kwa nn haniungi mkono kama huyu? Huyu mama ni kielelezo cha nn maana ya mke!