Mama leah timber supplier

Mama leah timber supplier

Mbeke

Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
30
Reaction score
3
Tunauza mbao za aina zote...za kuchemshwa (za dawa au treated) na zisizochemshwa..kwa maelezo zaidi wasiliana na
namba zifuatazo 0715292319 au 0719352293 .Ukihitaji...tafadhili ni PM (Private Message)
 
Mkuu hili tangazo mbona halijakamilika?
Weka picha sasa ya unachouza !
 
Upo maeneo gani? Unajua mbao siyo bidhaa ya kununua kisha useme utanitumia kwenye bus.
 
Kuna watu wanaamini kila mtu aliyeko Jamiiforums yuko Dar es salaam.

Jamani tangazo likamilike
 
Tunauza mbao za aina zote...za kuchemshwa (za dawa au treated) na zisizochemshwa..kwa maelezo zaidi wasiliana na
namba zifuatazo 0715292319 au 0719352293 .Ukihitaji...tafadhili ni PM (Private Message)

Sasa mama Leah mbao unauzia wapi? Mafinga au Makambako?
 
Back
Top Bottom