Hatari zinaweza kuwepo pande zote mbili:dah lugha inakua mkuu
kubeba watoto wawili mgongoni
inawezekana mtambo wangu wa kichina, mi naona kibox chenye ua katikati
Kongosho hii picha inamaana huioni kweli?
picha yako haifunguki.
Ila ukiona mkeo kabeba watoto namna hiyo ndo ujue kumsaidia ulezi, sio alee wanao na wewe pia akulee mwisho wote mtapigwa 'dabali'
Tena amsaidie kabisa kutengeneza ulezi wa uji wa watoto.
Akina baba wanasahau sana ulezi wanawaachia akina mama peke yao, tena wa tarime mtamuuu.
Mimi mbona hiyo picha naiona tena huyo mama she is Beautiful, hao wasiyoiona Computer zao zime expire!!...
Kongosho hii picha inamaana huioni kweli?