Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Hahahahaaa. wahanga ni wengi kwenye hizi fulana za mitumba. wanavaa bila kujua maana ya maandishi yake.
Hahahahaaa. wahanga ni wengi kwenye hizi fulana za mitumba. wanavaa bila kujua maana ya maandishi yake.
Hahahahahahahha
Huhuh
Siasa hatutaki huku huku hatutaki stress za CDMA na ccmatakua ccm bado hajabakwa na demokrasia
Yawezekana, why not.
πππUwe na adabu kwanza;
hajapenda kuvaa mitumba;
pia hakupenda kutokusoma;
mshukuru Mungu kama wewe
hujapitia huko; lakini ujuwe maisha
hayana fomula.