Mama kashacheka huko

Mama kashacheka huko

Ndiyo maana nimeiona misururu mirefu kwenye ATM.Hii inaonesha wafanyakazi wanamaisha magumu sana.yaani Hela inaingia siku Moja misururu ya watu inajaa siku hiyohiyo
Labda unaishi porini. Huku mjini digital money hadi kulipia huduma ya choo cha umma
 
Labda unaishi porini. Huku mjini digital money hadi kulipia huduma ya choo cha umma
Mji upi huo mkuu ambao mshahara ukitoka tu msururu kwenye ATM hasa za NMB huwa haupo?? Bila hata kuambiwa mshahara ukitoka utajua tu maana wanajazana kwenye ATM balaa
 
Kachukueni tunawasubiri kwenye biashara zetu mtuungishe.
 
Back
Top Bottom