Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,628
- 15,743
Emb mwambie[emoji23]Sio kila kitu mpaka uanzishe uzi
Ziko wapiWadogo zangu pamoja na kaka zangu ...mama yetu raisi wa injii amemwaga ajira wale wenye sifa stahiki ombeni..usiseme unajaribu bahati yako..wewe omba kama iliandikwa ule kwa kalamu basi utapata.lakini kama iliandikwa uwe mwanaharakati, mpambanaji na mwamba basi utakosa na maisha mengine yataendelea...
hii mentality sidhani kama ni vizuri kuiweka sana akilini, maana sasa hakuna kazi utaomba kisa kuwa zinawenyewe, yaweza kuwa upo sahihi ila ni vyema mtu aombe mana kuna bahati pia.zina wenyewe tayari,komaeni na ujasilia mali tu
Watu kama hao ndo unawakuta mstari wa mbele kwenye interviewhii mentality sidhani kama ni vizuri kuiweka sana akilini, maana sasa hakuna kazi utaomba kisa kuwa zinawenyewe, yaweza kuwa upo sahihi ila ni vyema mtu aombe mana kuna bahati pia.
Anajaribu kudiscourage watu ili wasiombe wengi apate yeye.Watu kama hao ndo unawakuta mstari wa mbele kwenye interview
Watu hatuwezi kupendanaAnajaribu kudiscourage watu ili wasiombe wengi apate yeye.
Dalili mojawapo ya mtu aliekata tamaa ni kuona kila kitu hakiwezekaniWatu hatuwezi kupendana
Huyu hajakata tamaa anapunguza ushindani kwa kuvunja watu moyo ili wasiombe alafu yeye aombe.Dalili mojawapo ya mtu aliekata tamaa ni kuona kila kitu hakiwezekani
Akafie mbele hukoooooooDalili mojawapo ya mtu aliekata tamaa ni kuona kila kitu hakiwezekani
Hakuna kitu kama hicho bongo,wewe kama hauna refa ndo basi tenahii mentality sidhani kama ni vizuri kuiweka sana akilini, maana sasa hakuna kazi utaomba kisa kuwa zinawenyewe, yaweza kuwa upo sahihi ila ni vyema mtu aombe mana kuna bahati pia.
Zilizopita kuna washkaji wamesota kitaa miaka 4 wamechakaa hamna wanaemjua popote sote wachimba chumvi na wamepatahii mentality sidhani kama ni vizuri kuiweka sana akilini, maana sasa hakuna kazi utaomba kisa kuwa zinawenyewe, yaweza kuwa upo sahihi ila ni vyema mtu aombe mana kuna bahati pia.