jamani mi humu ndani sina hata wiki mbili nashindwa kuwaelewa
jamani mi humu ndani sina hata wiki mbili nashindwa kuwaelewa
Kwani mna mali kiasi gani?
Wachaga ni wezi sana eeh
mi nataka ushauri na wala si risala uelewe hiloWewe unaoa mke au kabila? Maneno huumba,subiri utafutiwe mke na mama maana wa kutafuta mwenyewe unashindwa,kama haya maamuzi yanakushnda ni dhahiri bado hujakua kuweza kumiliki mke maana ya ndoa ni balaa zaid,subiri ukue utoke uvulana uwe mwanaume.