Mama jasili kujieleza mbele ya Magufuli

Mama jasili kujieleza mbele ya Magufuli

Yule bwana sio woga
Itakua ushirikina

Wanaomfahamu wanasema kila akitaka kusoma anaona maneno ya matusi makubwa kwenye karatasi ndio akawa na kigugumizi hadi akaacha kuongea
Duuuu ama kweli uchawi upo
 
Kipindi cha utawala wa marehemu Magufuli watu walikuwa waoga wa kupitiliza.

Wengi walishindwa kujieleza hata kama walikuwa na point za maana.

Wengine wateuliwa walishindwa hata kuapa mbele ya Magufuli kisa kumuogopa.

Ila huyu mama alikuwa jasili akaweza kuanika uovu wa wateule wa mtawala chini ya ccm bila kuacha kisa kuogopa.

Hakika siyo kila mwanamke ni muoga.
View attachment 2296701
Huyo mama ni Mkenya. Mbongo hiyo confidence mbele ya JPM aitoe wapi....... THUBUTU!!
 
Mimi huwa siyo binadamu wa kuamini kila kitu kwa haraka sana.

Bahati mbaya 'labda' wengi huwa mnaona president troupe kwenye sinema au saa 20:00 kwenye taarifa ya habri na kama mpo wa live basi lazima ujiulize issue ya huyu mama ni ujasiri au planned?.

Wengi mnasema "hakuna buana mama ni jasiri huyu alifanya kweli! "

Haya kuna yule wa muhimbili pale aliyejikalisha koridoni although kuna rasta huwa mnamuanzishia mada humu akiwa kwenye maskani ya kahawa au alkasusu.

Hizo nasema ni planned issues za kuchukua akili za watu as January anafanya sasa huko kanda ya ziwa kugawa majiko ya gesi huku gazeti moja tu likimuweka ukurasa wa mbele.
Umeongea vyema mkuu jamaa alikuwa msanii sana,kuna njemba ilimuuzia hindi la kuchoma dumila huku lina bastola kiunoni,kumbe ni mtu wa kitengo,rais hawezi kula hindi barabarani kirahisi vile bila watu wake kujiridhisha usalama wake
 
Magufuli - mtetezi wa kweli wa wanyonge, apumzike kwa amani mbinguni.
 
Umeongea vyema mkuu jamaa alikuwa msanii sana,kuna njemba ilimuuzia hindi la kuchoma dumila huku lina bastola kiunoni,kumbe ni mtu wa kitengo,rais hawezi kula hindi barabarani kirahisi vile bila watu wake kujiridhisha usalama wake
Aliwahi kuzawadiwa jogoo barabarani tu
 
Back
Top Bottom