Mama Janeth Magufulia ampiku Regina Lowassa



Mama Janeth Magufuli ndie the next First Lady.

Usikubali leo tanzania inazidiwa na burundi wanashilika la ndege liko makin lakin cc hakuna kitu kenya wanashilika lina ndege 60 hv nyerer si aliacha shilika la ndege likiwa hai hiii leo liko wap ndege aliyonunua mkapa na yenyewe iko wap unahitaji kua na tatizo la akili kupigia kula ccm walim tabora wameitisha mgomo malimbikizo cha maden ya mishahala

Je unafahamu kifaa kiitwacho LOWASA...?
NI kifaa cha kisasa chenye uwezo mkubwa wa kuangamiza na kutokomeza kirusi sugu kiitwacho CCM, sasa kifaa hiki kinapatikana nchi nzima katika mwonekano mpya kupitia king'amuzi bora cha UKAWA, kwenye mtamdao ulioenea nchi nzima wa M4C na chanel kama CHADEMA, NCCR, CUF na NLD.
Chagua LOWASA, chagua Ukawa kwa mabadiliko ya kweli,
Tanzania bila ccm inawezekana, fanya maamuzi ya busara 25 oct.
 
Regina ni mrembo na anaonesha ana huruma..tena ni msomi wa Korogwe Girls wakati uleeeeee.Uso wake umejaa bashasha na anaonekana siyo mpenda wapambe wala mijimama mimbea
 
Hatutaki Ikulu yetu iwe uwanja wa masumbwi wa michepuko ya Jay P Mapadlock, Lowassa na Regina wanafaa kurudisha heshima ya Ikulu yetu.
 

Attachments

  • 1443798425702.jpg
    34.9 KB · Views: 2,008
Kwa kubeba kokoto usiku kucha
 
Hiyo miwani amekuwa kama wale vipofu wa chuo
 
mwengine kashika mic mwengine anacheka na wote wana tabasamu sasa hapo akili kichwani
 
Mama haswa na anayejiheshimu hakosi kitenge/khanga, Janeth anaelewa nini maana ya kuwa mke na mwana mama wa kiafrika ..she is very smart.
 
Mpaka sasa zishapigwa kura 678. Mama Lowassa ana kura 760. Na Janeth ana kura 18
 
Acheni majungu yenu ,hiyo ndoa ya Magufuli inawahusu nini?umalaya wenu ulio kubuhu mmeuweka wapii?muacheni Janeth jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…