Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?

Itafahamika tu....Kebby na Sundi wamechukua nafasi ya Jah Net.
 
Sio kila unachokifikiria ndo unapost,fanya uchunguz braza
 
Wanaum wazima umbeya, maisha ya watu ynawahus nn, laana iyo na inawatafuna kufuatilia maisha ya watu
 
mkuu magufuli anafuta mambo ya kwenda na familia katika mambo ya serekali...yeye ni raisi mke watoto sio maraisi.....
kikwete alifanya ikulu na uraisi ni kama wa familia...nimemkubali magufuli...from now mambo ya wabunge kutupelekea ndugu bungeni ndo jana kikomo...utasikia soon order from above.




 


Kachoka kufanya maigizo ya mke wakati hali halisi anaijua mwenyewe. Hayo mambo kawaachia wenyewe

Usijitoe ufahamu bwana. Hili suala sio la CCM wala UKAWA. Kama hakuwepo imekaaje?

Hebu punguza jazba.
Tangu lini first lady anabaki kwake na kumuacha mwenza wake mwenyewe kwenye tukio la kitaifa?

Ninaamini kabisa kuwa mnafanya jambo hili kwa sababu ya mazoea, tumezoezwa kuwaona first ladies hata kwenye matukio ya kiserikali yasiyowahusu.

Hakuna sheria wala protokali iliyompasa mke wa rais kuhudhuria tukio hili. Halimuhusu kabisa. Ninawapinga wote wanaosema hili ni tukio muhimu kwa JPM alilopaswa awepo. La hasha, lile halikuwa tukio la JPM k.v. kuapishwa kuwa rais n.k.

Na sio jambo la kushangaza kwa JPM kusafiri kikazi Dodoma pasipo kuwa na mkewe. Hata kina Mbowe, Tundu Lisu etc hawakwenda na wake zao. Na ukweli ni kwamba hata JK kuna baadhi ya mtukio ya aina hii hakuwa na mama salma.

Jambo jingine la msingi ni maswala ya ndoa. First Lady ni mke wa Bwana Magufuli tu. Sio mke wangu au wako..na wala sio shemeji yetu na hatuna naye haki ya ndoa wala uhusiano wa kijamii.

Maisha yao ya ndoa ni yao binafsi, hayatuhusu isipokiwa tu pale ambapo litatokea jambo lenye kuhatarisha usalama wa taifa.

Kuwa na ndoa au kutokuwa nayo sio kigezo cha kuwa kiongozi bora. Nitawapa mfano wa ufaransa ambayo walishakuwa na rais aliyetalikiwa na mwingine akiwa bachelor kabisaaa. Na hiyo haihusu.
Na hata swala la michepuko, hilo nalo halihusu hata kidogo.

Waachieni Mama Janeth na JPM ndoa yao. Nyie hangaikeni na za kwenu.
 
Magufuli aweke mambo yake ya ndoa sawa, yaonekana kuna tatizo kwenye hii ndoa, mama hatoi ushirikiano toka day1, mara yupo mara hayupo anafanya kwa mgao kama umeme wa tanesco.
 
Mshua wa magu mbona alishavuta muda mrefu??
 
Povu limezidi la gongo
 
Hamida kumbe unadhani Chakaza ni binti mwenzio? Hilo ni dume tena la mbegu, kama unahitaji mbegu tuwasiliane tuu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ina maana hukusikia kuwa Magufuli amekifuta kitengo cha mapochopocho cha ikulu??
Mkewe asingeweza kuhudhuria kwani wakati rais analihutubia bunge mama alikuwa bize jikoni kwenye kasri ndogo ya mkulu chamwino akimuandalia mzee cha jioni.
 
jamaa alifuta kitengo cha chakula pale ikulu na kusema mambo ya chakula atashughulikia mke wangu janeti ndo atajua nakula nini na ataanda yeye..so huenda yuko jikoni

Kweli kabisa
 
Hamida kumbe unadhani Chakaza ni binti mwenzio? Hilo ni dume tena la mbegu, kama unahitaji mbegu tuwasiliane tuu

Hivi 'Chakazwa' uliota kuwa Hamy-D ni binti mwenzio!? Huyo ni rijali haswaa...ukitaka kuinamishwa njoo PM.
 
Last edited by a moderator:
Hivi 'Chakazwa' uliota kuwa Hamy-D ni binti mwenzio!? Huyo ni rijali haswaa...ukitaka kuinamishwa njoo PM.
Huwezi kutofautisha hata jambo dogo kama hilo? CHAKAZA na CHAKAZWA? Umeambiwa mie ni CHAKAZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…