Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?

Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.

Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
jamaa alifuta kitengo cha chakula pale ikulu na kusema mambo ya chakula atashughulikia mke wangu janeti ndo atajua nakula nini na ataanda yeye..so huenda yuko jikoni
 
Haha,
Hvi kumbe mama yetu hakuwepo mjengoni?.. Inawezekana ana udhuru jamani.
 
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.

Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Wacha unafiki wewe!!
 
yupo kwake kwani vipi ? uwepo wake ulikuwa wa lazima bungeni..?
 
Huyu mama amefiwa na mjukuu juzi tu huwezi jua inawezekana yuko na bintie.
 
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.

Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Wewe ni miongoni ya Bavicha wajinga wajinga...
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.

Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
mnahaha....nafasi za kujikosha kwa familia ya Rais haionekani,tena finyu kweli kweli mtanyooka #hapakazitu
 
Huyo mama atakuwa anaishi Maisha magumu sana, kama kwenye public ni hivi huko ndani je
 
Magufuli yuko kazini wife yuko na familia...mbona hujaulizia familia yake yote
 
yupo kwake kwani vipi ? uwepo wake ulikuwa wa lazima bungeni..?

Family support ni muhimu na inaonyesha the other side y rais wenu!!! Hii ilikua ni siku muhimu kwa Magufuli, kama mke ana udhuru basi mtoto au mama cyo mbaya!!! Pinda na familia yake, hadi mama mkapa leo kaenda,mume wa tulia,mke wa majaliwa,mama salma,mke wa karume nk!! Hii hailet picha nzur kwa first lady!!!!
 
Kwani angekuwepo angeongeza nini cha kutusaidia watanzania? Tafakari aliyoyaahidi Rais Magufuli.

Usitafakari kuwepo au kutokuwepo kwa mama wa nyumbani.
 
Mmemshindwa rais sasa mnamfwatilia mkewe! Ukawa bhana mshakuwa wacheza ngoma skuizi mipasho tu
 
Kwani ana kichanga??? Hujaona pinda kachukua mpk watoto???

Ulitaka Magufuli awe Pinda!? Endelea na kazi yako ya kukatikia kichwa cha chini hapo. Achana na siasa.
 
Back
Top Bottom