Mama Janet Magufuli

Mama Janet Magufuli

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12019795_127725584247535_8281590093232502426_n.jpg

12042672_127725597580867_6518419052002589222_n.jpg

12036462_127725627580864_4089242882749514356_n.jpg

Mama yetu Janet Magufuli akitema sera za CCM
 
Na anajua mapozi...kaanza kukaa kimiss miss...ki queen queen...shurti kujikusanya....ha ha ha...wajanja tu ndo watanielewa...
 
Mmetumia nguvu nyingi sasa kwa huyu Mama kutoka/kupanda kwenye majukwaa ya siasa, Trust me.
 
12019795_127725584247535_8281590093232502426_n.jpg

12042672_127725597580867_6518419052002589222_n.jpg

12036462_127725627580864_4089242882749514356_n.jpg

Mama yetu Janet Magufuli akitema sera za CCM
Huyu si alikua kafungiwa ndani huyu???

Naona kamwiga mama lowassa!!! Hahahahaahaa kweli ukawa wanaleta mabadiliko yani wamepeleka mabadiliko mpaka kwa mama makuguli.
 
Tuache matusi wakuu kwa hawa wa - mama kisa tu itikadi za vyama. 90% ya kesi za kupigana kipindi nikiwa mdogo zilisababishwa na mtu kuwatusi wazazi wangu ... Yaani hapo sina uvumilivu kabisa. Anyways, amependeza but anaonekana kama ana - force tabasamu..!
 
Kitu ufanye kwa hiari hata kama ni sindano haiumi sana lakini kulazimishwa hata kicheko kinaishia kufanana na kilio.
 
Ana haiba nzuri sio kama yule ajuza na mwenzie wamechokaaaa

ivi uwez changia mpaka kukashifu, hivi watu wengine mmeumwaje? We mama ako yukoje, utajisikiaje ukiona mtu anamkejeli ma ako, kua na nidham japo kias.
 
Back
Top Bottom