princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,357
- Thread starter
-
- #201
ni kweli sina mpango wa kuzaa nae kwa sasa nae anajua hilo amekubali kwahiyo ni safe tuMleta mada Kuna watu wanishauri ubebe mimba,,
Mimi nipo kinyume na hao Wala usibebe mimba mwsho wa kuja kuitwa single mama utayaweza?
Fanya maamuzi sahihi mwanamke,,,umskilize mama au uiskilize nafsi Yako..
mama Yako anapenda mwanaume wa kukuoa awe msomi ambae tabia zake hazijulikani hapo mtaani ..hata kama akiwa mlevi,jambazi, tapeli? Ndo mama Ako anavotaka.
Loh!
Mtu mzima kwani hana?mama angu mtu mzima 65 years
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio ke wala me wote tunapenda ngono mnooo.Ila Wangoni bhana wana balaa hela ataifikisha lakini π©² lazima ataivua tu hata kwa kwenda kwa Sangoma [emoji23][emoji23][emoji23]
afwate moyo wake ndio mshauri mkuu wa Kila mtu.Nini unamshauri?
mama anasema heri mlevi, mwanga mshenzi ila atoke mbali can u imagine ????
Nakumbuka enzi hizo ke za kule Ruvuma zilikuwa zinapenda kuvuliwa π©² sana kuliko hata kula na hazina mambo ya una shilingi ngapi? wewe tu na ghetto lako π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio ke wala me wote tunapenda ngono mnooo.
Utakuwa mzuri sana mpaka mama anaona huyo jamaa sio level zako,mi naomba kujua tuu tangu umemaliza form 4 ulikuwa unafanya nini mpaka leo hujishughuli na chochote jamani mpaka wachumba wanakukimbia.vipi huyo jamaa ako ana watoto? kama anao wewe msikilize tuu mama ako afu tafuta shughuli ya kufanya ata kama ni kazi za ndani uko UAE uchangamshe akili uache kubishana na mama ako, au muomb ndugu yoyote akulipie ata veta ukasome ata ufundi umeme π ukakae huko huko boarding. Unajua ukiwa mtu mzima bado unakaa home na huna hela basi kila siku lazima ugombane na mama ako.Na hio Olvel tulioishia ni maisha tu sio kwamba ndo 0 brain..
Umalaya hio Cv hana na mpaka mama mwenyewe anajua
nilichoona mama ana Matarajio makubwa mno juu yangu ambayo yeye hakuyatimiza anataka niyatimize anaona kama namfelisha
ni kweli nilikua nafanya kazi boss akahama mwaka juzi ndio tangu hapo natafuta sipati ila mambo mengine napambana nayo kichumvi chumvi ila sio official/ au kazi za tempoUtakuwa mzuri sana mpaka mama anaona huyo jamaa sio level zako,mi naomba kujua tuu tangu umemaliza form 4 ulikuwa unafanya nini mpaka leo hujishughuli na chochote jamani mpaka wachumba wanakukimbia.vipi huyo jamaa ako ana watoto? kama anao wewe msikilize tuu mama ako afu tafuta shughuli ya kufanya ata kama ni kazi za ndani uko UAE uchangamshe akili uache kubishana na mama ako, au muomb ndugu yoyote akulipie ata veta ukasome ata ufundi umeme [emoji23] ukakae huko huko boarding. Unajua ukiwa mtu mzima bado unakaa home na huna hela basi kila siku lazima ugombane na mama ako.
ngoja nifanye uchunguzi mana nmeshachokaUnaona sasa ? nimekuambia kuna siri kubwa sana kati ya Mama yako na huyo mpenzi wako. Fanya uchunguzi kimyakimya.
Usichoke ndio dunia ilivyo. Kila mtu ana magumu yake.ngoja nifanye uchunguzi mana nmeshachoka
ngoja nimuulizeAmna sababu ya maana hapo anamsagia kunguni tu jamaa.
Labda umuulize yeye angependa uwe na nani?? Labda kuna mtu anamuona hapo mtaani anakufaa ila ndo ivo ww hujawa nae ndo inamuuma.
Dah ππππngoja nimuulize
yeye anataka tajiri tu afu awe mzuri msafii yani perfect match
ndo namimi nataka nizidi kusali Mana haya bila Mungu kuamua ntaumia sana mana nahisi kuchanganyikiwaPole sana dear mama ana umuhimu wake sana ila naomba usali mwambie Mungu akuonyeshe kama huyo mwanaume ni wako atabaki najaribu kuvaa viatu vyako nashindwa pole kipenzi
asantedada hajasoma ila ana mwandiko mzuri hatari. nakupa hongera Kwa hili
Vipi huyo mtu wako ana watoto?ni kweli nilikua nafanya kazi boss akahama mwaka juzi ndio tangu hapo natafuta sipati ila mambo mengine napambana nayo kichumvi chumvi ila sio official/ au kazi za tempo
Sio mzuri kiivyo basi tu mi najionaga kawaida mana nmeona wadada wazuri sana.
wachumba skuizi wanataka uwe na kazi
Imagine binti akuletee mvuta bangi na mnywa pombeusimpuuze mama ana hoja,hasa kwenye kuvuta bangi na pombe kama ni kweli