Mama hajawahi kustaafu

Duh mama ni nouma sana[emoji490][emoji490]
 
Sasa hiyo spiker kama ile ya wauza sumu ya panya umetuwekea ya nini
 
Wewe ndo utaki asitaafu. Kama amefikia umri wote uwo nawewe unamwacha afanye kazi zote wakati wewe ni mwanae mkubwa ilibidi umsaidie hizo kazi mwenyewe.
 
Wewe ndo utaki asitaafu. Kama amefikia umri wote uwo nawewe unamwacha afanye kazi zote wakati wewe ni mwanae mkubwa ilibidi umsaidie hizo kazi mwenyewe.
Yaani kumbe sometimes kuzaa si kupata kama unazaa mitoto sampuli hii inayokupenda kwa maneno kuliko vitendo
 
Huyo mama anayejifungua hapo ana lips nzuri...
 
poa mkuu ujumbe mzuri sana huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…