Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,268
Eti kumlea bi Sandra au yeye ndo analelewa?🤣Mume wake rally jones[emoji1787][emoji1787][emoji56]
Eti kumlea bi Sandra au yeye ndo analelewa?🤣Mume wake rally jones[emoji1787][emoji1787][emoji56]
Chalii hana shida kabisa na Babake huyu.. Maana hata Baba Mzazi hana uhakika ni yupi haswaHii couple naona aibu Mimi ...
Sijui diamond huko yeye anaonaje aisee
Nilidhani ni mimi peke yangu ninayehisi hivyo, yani hii familia tabu tupu ..Hii couple naona aibu Mimi ...
Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Mkuu,hizo ni kamera tu zisikudanganye,tunakutana nao huko sinza kila siku,huyo mama ni mtu mzima kabisa na ngozi imeanza kukunjamana.Ila kumbe bi Sandra sio mzee kiviiiiile hata Harmonize angeweza kumuoa
Ya kwao hayana mvuto wanatafuta ya ugeniniila majina ya waandamizi wa WCB hayaendani na dini zao,ni AKA ama nini!!
ricardo momo.
rommy jones
rally jones
sandra michael
Mamaake rommy ni ndg na mama wa DiamondHivi yule rommy huyu ndo babaake??
Huwa undugu wk na domo ukoje??