Mama bado anaupiga mwingi?

gwajima si alikuwa anafufua watu.

ushauri; tufanye maombi ya kumrudisha jiwe chini ya usimamizi wa gwajiboy
 
kweli tupu, amebadilika kawa mzigo kwa wananchi. yaani baadhi ya mizigo tuliyobebeshwa, ni gharana za Maisha kupanda most likely kupitia deals zao, kunyimwa Katiba, mama mwenyewe plus other hopelessnesses we are witnessing.
 
Yaani mzee Samia mborongaji badala ya kutupa hope on what she can do to solve these problems instead tunaambiwa na bado as if kuna kosa tumefanya and we are paying for the mistakes.[emoji19][emoji706].
 
Halafu nilichogundua huyu maza anamajibu rahisi kwenye masuala mazito yaani ni kama hekaya za bunuazi na holelaholela
Ana uelewa mdogo juu ya hayo masuala, ilikuwa ni busara baada ya mwaka mmoja madarakani aachie ngazi, kiti cha urais amuachie mtu ambaye ana uelewa mzuri wa kuongoza nchi.
 
Tupo kwenye state of denial.

Kama Taifa hatujui tulikotoka wala tunakoenda aisee.

Yaani tupo tupo tu.

Wala hakuna maamuzi ya mwisho kitaifa katika jambo lolote.

Viongozi wetu ama ni waoga , hawana uwezo au hawataki kujihusisha na mambo yetu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…