Tatizo ya katiba hii inaruhusu magarasa kuingia ikulu ya JMTZ. Ndani ya miaka sita hili ni garasa la pili.
Nani kakuambia na Kukudanganya kuwa Matatizo yote ya Tanzania yetu hii yatapatikana kwa ujio tu wa Katiba mpya ambayo mnaiota Kutwa?Neno ‘mama’ lina maana kubwa maishani mwakila mmoja wetu. Ninapotamka ama kusikia neno mama mawazo yangu yanazama kwenye fikiria za matumaini, Faraja,huruma na upendo wa dhati usikuwa na kipimo kutoka kwa mama...
Ndugu soma unielewe vizuri. Hapo sijazungumzia matatizo yote ya Tanzania. Nimeongea kuhusu utawala wa sheria na Rais na matarajio ambayo watu walikuwa nayo wakati anaingia madarakani.Nani kakuambia na Kukudanganya kuwa Matatizo yote ya Tanzania yetu hii yatapatikana kwa ujio tu wa Katiba mpya ambayo mnaiota Kutwa?
Kwahiyo na hata huu Uwezo wenu mdogo wa Kufikiri na Akili katika kuyaangalia mambo Kiupana wake nao Katiba mpya inahitajika ili Kunusuru na Kuwaokoeni?
Unapomwita Rais Samia Suluhu Hassan garasa unamaanisha nini? Au alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza hamkujua maana yake?
Au Ulitaka itokee chadema halafu Salum Mwalimu ndio awe ikulu leo? Au wapinzani mlipokua mnachagua mgombea mwenza hamkuijua katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Kati ya vitu vinaifanya CCM iendelee kuwa bora ni upinzani kuendelea kuwa dhaifu, kulialia, kudeka na kudemka
Mwacheni Rais ( Mama ) Samia afanye Kazi tafadhali na mkitaka Tanzania iongozwe na Vyama vyenu vilivyojaa Uhuni na Usanii anzeni Kubadilika kwa Kujitafakari Kwanza.Ndugu soma unielewe vizuri. Hapo sijazungumzia matatizo yote ya Tanzania. Nimeongea kuhusu utawala wa sheria na Rais na matarajio ambayo watu walikuwa nayo wakati anaingia madarakani.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hiyo taasisi ndio ilikuwa haijui nini kinaendelea maana mabadiliko ya ghafla sana
Mijinga sana hii mijamaa, mayowe yote haya sababu Gaidi wao yupo sehemu salamaMwacheni Rais ( Mama ) Samia afanye Kazi tafadhali na mkitaka Tanzania iongozwe na Vyama vyenu vilivyojaa Uhuni na Usanii anzeni Kubadilika kwa Kujitafakari Kwanza.
Matusi yanatoka wapi tena Wewe Juha?Mijinga sana hii mijamaa, mayowe yote haya sababu Gaidi wao yupo sehemu salama
Matusi yapo wapi hapo, jinga likubwaMatusi yanatoka wapi tena Wewe Juha?
Kwa aina hii ya Ujuha wako / wenu ndiyo Wapinzani mnataka Kuiongoza Tanzania?Matusi yapo wapi hapo, jinga likubwa
Umedata wewe siyo bureKwa aina hii ya Ujuha wako / wenu ndiyo Wapinzani mnataka Kuiongoza Tanzania?
Mwanzo VAR haikuwepo kumbe ule mwingi magoli yalikuwa offside..
Bado hujachelewa Kuihama Tanzania.Umedata wewe siyo bure
Umetoa bokoAnapiga maushungi mengi.
Hii kauli mwanzoni ilitumiwa sana na vijana wa CHADEMA kamaMpira unakuwa Mwingi na unakuwa wa KURUSHWA.
Sema kautoa nje tayarihivi maana ya mama anupiga mwingi ni nini,hii imetrend sana jf naona wana fb nao wameanza kuiga