Hahahahah! Yani hapo mtihani kwa kweliWengi hapa tutaishia kusema "Yamama"...nikweli mama hana mfano.
Ila kiuhalisia. Let say jana yake umemuomba demu mchezo alafu akuambia kesho asubuh nitakushtua..... Ndo umeamka na mawazo ya mzigo....unakuta izo missed call ......
Miminimkulimaakachekasana
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Baada ya mama?
Wengine wapange pia kwa mtiririko
Baada ya mama yeyote kati ya waliobaki atafuatia.Wengine wapange pia kwa mtiririko
Hao wanaosema mama wote wanafiki waongo we unacheza na mapenzi niniWengi hapa tutaishia kusema "Yamama"...nikweli mama hana mfano.