Mama awang’ata wanawe, mumewe aomba msaada asema wako hatarini

Mama awang’ata wanawe, mumewe aomba msaada asema wako hatarini

yaani "" mpaka nimestaajabu...wajua kuna mambo mengine huwa yanatokea mpaka unajiuliza hivi " hao watu wanaishi duniani kweli ..yaani bila hata haya " wazazi wa huyo Binti " wanashiriki kufanya kitendo cha udhalilishaji jinsia kama " hicho"

AMA KWELI " UKOSEFU WA AKILI NIMZIGO
Mkuu tanga watu wanao maisha magumu sana na hapo ukute huyu mzee alikuwa anaisaidia familia ya mwanamke chakula tu na wakaamua kumfanya udhalilishaji huu kisa njaa Na uvivu wao

Na mawazo ya kimasikini

Mi hapa cha msingi wachukuliwe hatua wazazi na huyo mwanaume maana huyu mwingine aje aseme anayo yajua juu ya uolewaji wake
 
Aiseee"" kweli piga vita adui masikini"" wazazi wengi wa kiafrica huwa wana zaa Watoto wakiwa na mentality zao kuwa mtoto ni rasilimali ..hapo shida ndio inapoanzia
 
Aiseee"" kweli piga vita adui masikini"" wazazi wengi wa kiafrica huwa wana zaa Watoto wakiwa na mentality zao kuwa mtoto ni rasilimali ..hapo shida ndio inapoanzia
Yaani unaweza kuamka na mawazo yako mazuri ila kuna habari ukaisikia ikakupotezea furaha ya siku

Kweli umasikini wa akili ni zaidi ya mzigo
 
Kwa hiyo kama wameishi miaka 5 na huyo mke kwa sasa ana miaka 18 ina maana alimuoa akiwa na miaka 13!!!! wakati huo mzee alikuwa na miaka 70 kwa kuwa sasa ana miaka 75. Mambo ya kando ya bahari ya hindi hayo!!! Kilimanjaro hakunaga!!!
 
Huyo anaishi na mjukuu wake sio kusema mke wake.

Amekua akimbaka kwa miaka 4 maana yake amemuoa akiwa na miaka 13 akaendelea kumbaka kwa miaka 4 (13-17).

Mzee akamatwe huyo
 
Umasikini ndio chanzo cha yoote, na bado hapo utaona kuna muendelezo wa umasikini tena.
Mtoto kazaa watoto kifupi malezi hamna hapo, Mume 75yrs akili imechoka ... Watoto malezi yatakuwa shaghalabhagala at the end nao wanaangukia kwenye life ya Tabu..

Chanzo cha umasikini uliokithiri kwa watanzania ukikisema hapa utaanzisha mengine huu mjadala..
 
Wanaume Wa Tanga,usisahau tanga ipo karibu na dar kwahiyo wanashare some factors
 
Mme 75
Mke 18
Aiseeeeee hata kama mapenzi hayaangaliii umri hii ni hatari [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo mama Theresia ataua na ugonjwa unaitwa Bipolar disorder (Manic Depression)...

Wampeleke hospitali kwa matibabu...

Cc: mahondaw
 
Nimeisikia hyo habari asbuhi nikasikitika sana mana inaonekana binti atakuwa na stress sana mana dizaini kama liatakuwa alilazimishwaga kuolewa na huyo babu,, ss mume miaka 75 af mke 18,, tena km wana miaka 5 mean alimuoa akiwa na miaka 13 babu likiwa na 70,, huyo babu ndo chanzo cha yote.
 
Back
Top Bottom