Ooopps!!! Hebu wajarbu kumkanyaPlease! Kunaweza kuwa na wanawawe humu,angalau tuwasitiri.
Ng'ombe hazeeki maini utam upo pale paleHizo fimbo/ miti ya 'Y' yenye shina refu wameshika kazi yake ni nini na ina maana gani?
Mwanamke yoyote asiye kuwa na mtoto au ana mtoto mmoja hujiona bado Binti!Mbona anavaa nguo za kubana hivo?
Em pita hivi kwani unadhani ye haoni hata yeye pia alitaka iwe hivi tena imechelewa tudaaah aisee haya mambo ya Fake ID Bhana mi nimeyashindwa bhana dah.. sasa nataka nimtagi kabisa aone mwenyewe mnachomfanyia nyie watoto wake