Mama Anna Mghwira azindua Kampeni za Uchaguzi mdogo Geita

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
620
1,543
c4762d6b51765debbf3d14c737cf80f1.jpg
a7d8e5889bce1fe18a52299189d7aa45.jpg
ef2eaf834e89f7b7478a25102ccbcfa0.jpg

Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Nkome mkoani Geita, Kampeni hizo zimezinduliwa na Mwenyekiti wa Chama mama Anna E. Mghwira, jioni hii ya leo tarehe 31 December 2016. Umekuwa mwanzo mzuri wananchi wa Kata ya Nkome kuhitaji mabadiliko ya kweli na kuhitaji Chama mbadala kwaajili ya maendeleo yao baada ya kuchoka na matumaini hewa ya vyama vya zamani. Wananchi wa Nkome wametuahidi kutupa kura na watakuwa bega kwa bega kumuunga mkono mgombea wetu.
5842db7ed0d0609c119ba103bf8f67a8.jpg
7409a1eb424c3930416a4a9cc6a8a3ed.jpg
90264dc60a98e41a97d7c219b001a5e2.jpg
584e8bb116a03e4c884eebcf255528b3.jpg
 
ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani ndani ya mioyo ya Watu..

Watu hawana hamu tena na lile chaka la mafisadi chadema.
 
c4762d6b51765debbf3d14c737cf80f1.jpg
a7d8e5889bce1fe18a52299189d7aa45.jpg
ef2eaf834e89f7b7478a25102ccbcfa0.jpg

Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Nkome mkoani Geita, Kampeni hizo zimezinduliwa na Mwenyekiti wa Chama mama Anna E. Mghwira, jioni hii ya leo tarehe 31 December 2016. Umekuwa mwanzo mzuri wananchi wa Kata ya Nkome kuhitaji mabadiliko ya kweli na kuhitaji Chama mbadala kwaajili ya maendeleo yao baada ya kuchoka na matumaini hewa ya vyama vya zamani. Wananchi wa Nkome wametuahidi kutupa kura na watakuwa bega kwa bega kumuunga mkono mgombea wetu.
5842db7ed0d0609c119ba103bf8f67a8.jpg
7409a1eb424c3930416a4a9cc6a8a3ed.jpg
90264dc60a98e41a97d7c219b001a5e2.jpg
584e8bb116a03e4c884eebcf255528b3.jpg
Hongera
 
Huyu mama alikua ana hoja nzuri sana, aliainisha kila kitu kitafikiwa vipi. Akaja ndugu yangu mmoja akaniambia "Kikaoni tumeambiwa bora achukue ccm kuliko cdm" sikumuamini mpaka Afande Sele alipoanza kuongea hadharani kila ambacho kilitakiwa kua siri ndiyo nikajua hapa kuna la ziada.
 
c4762d6b51765debbf3d14c737cf80f1.jpg
a7d8e5889bce1fe18a52299189d7aa45.jpg
ef2eaf834e89f7b7478a25102ccbcfa0.jpg

Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Nkome mkoani Geita, Kampeni hizo zimezinduliwa na Mwenyekiti wa Chama mama Anna E. Mghwira, jioni hii ya leo tarehe 31 December 2016. Umekuwa mwanzo mzuri wananchi wa Kata ya Nkome kuhitaji mabadiliko ya kweli na kuhitaji Chama mbadala kwaajili ya maendeleo yao baada ya kuchoka na matumaini hewa ya vyama vya zamani. Wananchi wa Nkome wametuahidi kutupa kura na watakuwa bega kwa bega kumuunga mkono mgombea wetu.
5842db7ed0d0609c119ba103bf8f67a8.jpg
7409a1eb424c3930416a4a9cc6a8a3ed.jpg
90264dc60a98e41a97d7c219b001a5e2.jpg
584e8bb116a03e4c884eebcf255528b3.jpg
Huyu mama namkubaligi sana uongozi anaweza na katika taifa hili namuona ni hazina kubwa sana sana ningeshauri viongozi wa ACT wahakikishe 2020 anaingia bungeni huyu atasaidia sana upinzani kujenga hoja akisaidiana na makamanda wengine kina bulaya na mdee kuisimamia serikali bungeni
 
Back
Top Bottom