"Mama anaupiga Mwingi" Hivi bado inasikika

Mzururaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,558
Reaction score
1,274
Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini

Wapinzani wa nchi hii ni hovyo sana wakati wa Bunge la bajeti mlikuwa busy na kauli yenu ya kusaga kunguni mkawa busy na DIAMONDPLATNUMZ na tuzo za BET kuanzia makamu mwenyekiti hadi wapambe busy na ujinga ujinga wa diamond sasa hamuelew chochote

Sasa tunasema mama anaupiga mwingine aachwe tulipe kodi tujenge nchi tuachane na mwenda zake
 
Maisha yanaenda kasi. Wakati hii inapitishwa tuko busy kuhakikisha Diamond hafanikiwi. Leo Diamond anasheherekea kununua Rolls Royce Sisi tunalia tozo za muamala ni kubwa sana!
 
Mim naona kuna haja ya kupitisha sheria ya kutoruhusu mswaada kupitishwa na bunge mpak wananchi waukubali maan vichwa vilivyopo bungen vinafikilia matumbo yao. Juz tu hapa mbunge anatakaaongezewe mshahara sasa kuna wabunge hapo.
 
Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini

Wapinzani wa nchi hii ni hovyo sana wakati wa Bunge la bajeti mlikuwa busy na kauli yenu ya kusaga kunguni mkawa busy na DIAMONDPLATNUMZ na tuzo za BET kuanzia makamu mwenyekiti hadi wapambe busy na ujinga ujinga wa diamond sasa hamuelew chochote

Sasa tunasema mama anaupiga mwingine aachwe tulipe kodi tujenge nchi tuachane na mwenda zake
umenena mkuu, hapo ndipo utawajua jinsi watu walivyo wanafiki.
kamwe viongozi wetu wasikubali kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kamwe viongozi wetu wasidhani kama inawezekana kumridhisha kila mtu.
Kamwe viongozi wetu wasikubali kuyumba wala kuyumbishwa, huu ndio maana ya uongozi.
Maamuzi yaliyo fanyika ya kulipa kodi hizi yana baraka zote za wawakilishi wetu ambao ni wabunge wetu.
tuendelee kuchapa kazi, tuachane na wapinga maendeleo.
 
Na bado..... Hii safari tutajuta.... Hizo kodi ni kubwa mmno....
 
Maisha yanaenda kasi. Wakati hii inapitishwa tuko busy kuhakikisha Diamond hafanikiwi. Leo Diamond anasheherekea kununua Rolls Royce Sisi tunalia tozo za muamala ni kubwa sana!
Mbona watu walilalamika na baadhi ya wabunge, lkn lini serikali ilishaamua kupitisha kitu Bunge letu au hata wapinzani au wanaharakati wakazuia. Hata hivyo najiuliza "ni lini wananchi wa nchi hii watawaachia wanasiasa wa Upinzani na wanaharakati kuwatetea na wao wako kimya wakisubili matunda"?
 
Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini

Wapinzani wa nchi hii ni hovyo sana wakati wa Bunge la bajeti mlikuwa busy na kauli yenu ya kusaga kunguni mkawa busy na DIAMONDPLATNUMZ na tuzo za BET kuanzia makamu mwenyekiti hadi wapambe busy na ujinga ujinga wa diamond sasa hamuelew chochote

Sasa tunasema mama anaupiga mwingine aachwe tulipe kodi tujenge nchi tuachane na mwenda zake
Wapinzani gani unaowaongelea? Wale 19 walioko bungeni ambao no Wana CCM wenzenu?
 
Hahaaaa Bwana wabeligiji na mwenzake anae sema kakimbia nchi si ndio walikuwa bize na diamond kwenye tuzo za BET
 
Maisha yanaenda kasi. Wakati hii inapitishwa tuko busy kuhakikisha Diamond hafanikiwi. Leo Diamond anasheherekea kununua Rolls Royce Sisi tunalia tozo za muamala ni kubwa sana!
For sure.. tulijisahau sana, matokeo tunataona sasa.
 
Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini

Wapinzani wa nchi hii ni hovyo sana wakati wa Bunge la bajeti mlikuwa busy na kauli yenu ya kusaga kunguni mkawa busy na DIAMONDPLATNUMZ na tuzo za BET kuanzia makamu mwenyekiti hadi wapambe busy na ujinga ujinga wa diamond sasa hamuelew chochote

Sasa tunasema mama anaupiga mwingine aachwe tulipe kodi tujenge nchi tuachane na mwenda zake
Dah so sad
 
Wapinzani gani unaowaongelea? Wale 19 walioko bungeni ambao no Wana CCM wenzenu?
wale tumekubaliana ni wenzetu.

hapa tunazungumzia hawa wanashauti chanjo iwe lazima kwa kila mtz.
 
Hao kina mbowe wanajua kila kitu... Ni wale wale..Tz hakuna upinzani..
 
Back
Top Bottom