ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,948
- 15,519
Katoka kupizi huko hata kuoga hajaoga anajifunika tu hivyo boxa imefubaaUchafuu tuu umekutawala
Chumba kinanuka kibeberu kwa nini asifue akaepuka hiyo harufu mbaya
Ha ha ha haNunua mashine ya kufulia, hii siyo jambo lakuja kujadili humu, pumbavu
Babu yangu alikuwa anatukana tumbafu!Nunua mashine ya kufulia, hii siyo jambo lakuja kujadili humu, pumbavu
Halafu anakuja kujisifia upuuz wakeKatoka kupizi huko hata kuoga hajaoga anajifunika tu hivyo boxa imefubaa
Uchafu umemjaa katoka kupizi anaenda kumpa Mama yake afue shahawa zake kweli?Halafu anakuja kujisifia upuuz wake
Wamama wanakua attached sana na watoto wa kiumeKuna mvulana mwenzie nilikutana nae Mlandizi analalamika kunyolewa mavuzi na mamaake.
Kuja kuchunguza dogo ameshaanza kuchezewa mkia na wahuni na mamaake ni sababu ya kumwaribu
Wazazi wengine ni wapumbavu sanai!!
Hahaaaaa, kuna vitu vya ajabu sana. Bora umeamua kumuita pumbavu, oia anatakiwa atoke kwao. Aende kujitegemea. Jitu chafu na linataka tulishauri humu.Nunua mashine ya kufulia, hii siyo jambo lakuja kujadili humu, pumbavu
Chumba chake au kwa mama yake. Huyo bado yupo kwa mama yake na mama yake ndio anamlisha na kumvalisha. Jamaa ni lichafu ndio maana mama yake analifulia.🤣🤣 Mamas boy.....Nakushauri uwe unafunga chumba chako
Sio kuwa attached hilo toto hata tumbo la kulilisha kwa mwezi hatobiiWamama wanakua attached sana na watoto wa kiume
Wanaona kama hujakua yaani
Ndo maana nashauri vijana wasikae sana na mama wakishaanza kujitambua
Mbona umekazana na minyanduano?Anawaza kuto mbana tu kufua nguo zake ni anajishauri siku 6 hujafua nguo unajua huo uvundo unaotoka humo na hili Joto la hapa Dar? Ila masuala ya kuto mbana linachekelea kufua nguo sifuri
"Una kasirika na kulia!" Chinekeeeee! Na ni "mwanaume" Wa, wapi! Au, bado mvulana!?Wasalam wanajamii forum, Mimi ni mwanaume rijali ninayeishi na mama nyumbani.
Nina tabia ya kurudia nguo hata siku SITA BIla kubadilisha na nikibadilisha naendelea hivyo hivyo huku nikirundika manguo yawe mengi Ili nije niyafue Kwa pamoja.
Mama anapenda Sana kuingia chumbani kwangu na mara nyingi panakuwa sio pasafi.Basi atanidekia choo na kusafisha chumba changu na kutandika kitanda lakini kinachoniuma kwanini ang'ang'anie kunifulia Mimi ni mtu mzima.
Kuna muda Hadi tunagombana nakasirika na kulia kabisa.Sijui hata nifanyeje anielewe.