Mama ana watoto wadogo anaomba msaada jamani

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
439
Habari wanajamii

Samahani kuna mama mmoja ameomba nimtangazie yaan yuko katika hali mbaya sana. Ana watoto watatu wadogo sana na mwingine anasoma.

Mama huyo hana kazi,hata hela ya kula inakosa, hana hata pa kulala kwa maana ya godoro. Watoto wadogo sana.

Huyo mama hana kazi ila anaweza kufanya kazi yoyote ile ila isiwe tu ya baa.
Anaweza kufanya kazi za kuuza kwenye duka kwa sababu ana uzoefu huo kwa mda mrefu.

Kama kuna mtu anaweza msaidia hata mtaji ili ajishughulishe na shughuli ndogo ndogo anaomba amsaidie.hata mtaji wa kuuza genge atashukuru sana.

Mama huyo anakaa Mwanza na watoto wake watatu wadogo sana sana.
Msaada wenu ni wa muhimu sana wanajamii

Anakopatikana.... NYAKATO NATIONAL., MWANZA

Mawasiliano...... 0746426602
 
Baba watoto iko wapi? Maelezo yajajitoshereza bado....ilikua je watoto wa uhuru gani ?
 
Habari wanajamii

Samahani kuna mama mmoja ameomba nimtangazie yaan yuko katika hali mbaya sana. Ana watoto watatu wadogo sana na mwingine anasoma.
Mama huyo hana kazi,hata hela ya kula inakosa, hana hata pa kulala kwa maana ya godoro. Watoto wadogo sana.
Huyo mama hana kazi ila anaweza kufanya kazi yoyote ile ila isiwe tu ya baa.
Anaweza kufanya kazi za kuuza kwenye duka kwa sababu ana uzoefu huo kwa mda mrefu.
Kama kuna mtu anaweza msaidia hata mtaji ili ajishughulishe na shughuli ndogo ndogo anaomba amsaidie.hata mtaji wa kuuza genge atashukuru sana.
Mama huyo anakaa Mwanza na watoto wake watatu wadogo sana sana.
Msaada wenu ni wa muhimu sana wanajamii

Anakopatikana.... NYAKATO NATIONAL., MWANZA

Mawasiliano...... 0746426602
Mwanza c ndo mlimpa kura, Kumbe huko nako namba inasomeka vyema...Haha hahah , mwache tu aisome namba maana wamama wa huko ndo walikuwa kimbelembele mwaka ule..
 
Aisee..tatizo binadamu tumepoteza uaminifu mnoo,.usikute ni ww mwenyewe unatafuta hela ya kuweka heshima bar hakuna cha mama watoto wa3 wala nini...

Mm naweza kusaidia japo kidogo endapo utaweka hapa vitu vifuatavyo

-anuani kamili ya anakoishi
-namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa/balozi wa nyumba10 wa mahali anako ishi pamoja na majina yao kamili ya utambulisho
-majina yake kamili(huyo mama)
-umri wake na wa watoto wake...

Barikiwa.
 
Wakat anazaa hao watt watatu aliomba msaada kwa nani?!
 
anaweza fanya kazi yoyote ila sio baa sasa kwani hiyo ya baa sio kazi mwambie aache kuchagua kazi kwa dunia hii atapata tabu sana
 
Aisee..tatizo binadamu tumepoteza uaminifu mnoo,.usikute ni ww mwenyewe unatafuta hela ya kuweka heshima bar hakuna cha mama watoto wa3 wala nini...

Mm naweza kusaidia japo kidogo endapo utaweka hapa vitu vifuatavyo
Mkuu asante sana. Naomba utumie hiyo namba afu utampata utaongea nae. 0746426602
-anuani kamili ya anakoishi
-namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa/balozi wa nyumba10 wa mahali anako ishi pamoja na majina yao kamili ya utambulisho
-majina yake kamili(huyo mama)
-umri wake na wa watoto wake...

Barikiwa.
 
Aisee..tatizo binadamu tumepoteza uaminifu mnoo,.usikute ni ww mwenyewe unatafuta hela ya kuweka heshima bar hakuna cha mama watoto wa3 wala nini...

Mm naweza kusaidia japo kidogo endapo utaweka hapa vitu vifuatavyo

-anuani kamili ya anakoishi
-namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa/balozi wa nyumba10 wa mahali anako ishi pamoja na majina yao kamili ya utambulisho
-majina yake kamili(huyo mama)
-umri wake na wa watoto wake...

Barikiwa.
mkuu asante sana. Naomba utumie hiyo naomba afu utaweza kuongea nae vizuri akakuelezea kila kitu yeye. 0746426602
 
Back
Top Bottom