BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
- Thread starter
- #21
Hapana, sio kwamba ndo mwisho isipokuwa nilipokuwa nimekusudia ilikuwa kufikia hapo mama na mwana walivyokutana baada ya miaka mingi. Labda kidogo tu ni kwamba yule kijana kule Mwanza alikuwa anajishughulisha na biashara ya samaki, hivyo gharama zote alizotumia kumtafuta mama ilikuwa ni kutokana na bishara yake ya samaki, hivyo alikaa na mama kama wiki 1 akarudi Mwanza kuendelea na biashara.Dada yake yule aliyekuwa na miaka mi4 wakati wanachukuliwa ilitokea wakakutana na mama yake mdogo aliyeko dar, kwa sasa ana mtoto m1 wa kike na ni mkubwa. Hivyo watoto wote wawili, kaka na dada yake wameshafahamu nyumbani kwa babu yao upande wa mama na huwa wanakwenda kusalimia mara kwa mara. Mama yao alishafariki miaka kadhaa iliyopita.Lol. Ukute ndo mwisho wa hadisi. Jina lenyewe Betri low?