Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Nimefatilia wiki kadhaa sasa kipindi hiki mada tofauti na sura za washiriki ni zilezile, vigezo gani hutumika kuhudhuria?

Kuna Mzee mmoja anajiita Rais (Wa Kudumu??!!) Wa Mchezo wa Bao Tanzania, jina kama Lipwata, huyu toka Malumbano ya Hoja inaanzishwa yuko tu nae mpaka leonnever miss hata siku moja, ni bonge la Gamba.
Pili kuna jamaa mmoja hivi Gamba, ana domo kubwa hivi last week alivaa kanzu nae never miss daily.
Kuna Mzee mwengine wa kichaga mweusi hivi anajifanyaga mwanaharakati, kumbe ni Gamba tu nae never miss kwenye hilo jukwaa. Daily anamwaga pumbatu full chuki aagainst EL mwanzo-mwisho.
Haa haa hao watu ni balaa, kuna mama mmoja nae ni mlokole huongea mambo ambayo hayahusiani na mada, yeye anataka maombi kwa yesu tuKuna Mzee mmoja anajiita Rais (Wa Kudumu??!!) Wa Mchezo wa Bao Tanzania, jina kama Lipwata, huyu toka Malumbano ya Hoja inaanzishwa yuko tu nae mpaka leonnever miss hata siku moja, ni bonge la Gamba.
Pili kuna jamaa mmoja hivi Gamba, ana domo kubwa hivi last week alivaa kanzu nae never miss daily.
Kuna Mzee mwengine wa kichaga mweusi hivi anajifanyaga mwanaharakati, kumbe ni Gamba tu nae never miss kwenye hilo jukwaa. Daily anamwaga pumbatu full chuki aagainst EL mwanzo-mwisho.
Sasa kama hamtaki kwenda kushiriki mnataka tutumie style ya ccm ya kuwafuata na mabasi?