Wana yao hao. Hiyo mitambo huwa haifanyiwi usafi kabla ya kubadili aina ya kinywaji kinachotengenezwa...????Wakuu, tuko kwenye sherehe mahali isiyo na kilevi, maana kuna pia Walokole.
Lakini kumetokea mzozo, maana waandaaji wameweka Kinywaji inaitwa Malta Guiness, ambapo baadhi ya Walokole wanasema hakina shida maana hakina kilevi, ambapo wengine wamegoma kuingia ukumbini wakidai kinywaji hicho kinatengenezwa na mitambo ileile inayotengeneza Bia, kwahiyo hi haramu.
Embu wanaJF, tuwekenni sawa hii mambo!
Wakuu, tuko kwenye sherehe mahali isiyo na kilevi, maana kuna pia Walokole.

Lakini kumetokea mzozo, maana waandaaji wameweka Kinywaji inaitwa Malta Guiness.KunaWalokole wanaosema kinywaji hiki hakina shida maana hakina kilevi, kundi lingine wamegoma hata kuingia hapo ukumbini wakidai kinywaji hicho kinatengenezwa na mitambo ileile inayotengeneza Bia, kwahiyo hi haramu.
Embu wanaJF, tuwekenni sawa hii mambo!
two thing mtambo wa bia huwezi ukatengenezea malta hata siku moja, ni sawa na muzi kuzaa kondoo, pia malta imesajiliwa kisheria huwezi ukaweka label kuwa ni alcohol free wakati kuna hata TRACE ya alcohol, kwa hiyo kama wamegoma ni wakati muafaka wa wenguni kukamata kilaji