Malow-income wamevamia Mbezi Beach!

Status
Not open for further replies.

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Hii ndiyo ilikuwa Oysterbay yetu watu weusi, Nyerere alipora Shamba la Mgiriki na kugeuza makazi ya high income TZ asilia kwa maana Masaki na O’ bey ni Muzungu, Upanga ni Muhindi na Msasani Mwarabu sasa sisi Waafrika weusi hatukuwa na eneo letu zuri na ndo maana Nyerere akatumegea Mbezi Beach!

Kwamba ilikuwa ili uishi Mbezi Beach ulihitaji kuwa mweusi kama mimi na pia high income na middle na manlow income mlitengewa Mwenge, Sinza , Tabata, Migomigo &Co.

Na tulianza vizuri ila sasa hivi malow income wa Tabata, Sinza wote wamehamia Mbezi Beach matokeo yake uchafu, wizi, majumba ya Ibada yasiyo na mpangilio, wachoma mahindi barabarani, n.k.

Nyerere angekuwepo angeilinda Mbezi Beach yetu, mbona malow income hamuhamii Obey au Upanga na kujenga majumba yenu ya ibada hovyo hovyo na kuuza mahindi choma kila mahali?

Nashauri sumatra waondoe dala dala Mbezi hizi ndo zinazotujazia watu Mbezi Beach!

Bring back our Mbezi Beach, malow income out!
 
Just to remind you
Iko siku low income na high income mtakua sawa
Mungu hana poor planning mkuu
Utajigamba wee ila iko siku tu.


Sawa akifikia high income ndo ahamie Mbezi Beach na siyo kabla!
 
Nilirudi likizo Bongo baada ya muda mrefu mwaka 2012 nikasikitika sana.

Nilifika usiku, nikapitishwanjia mpya ya chinikule, kwa hiyo sikuona vizuri. Kesho yake nilivyoamka, kujakuona Mbezi Beach ilivyogeuka, sikuamini.

Zaidi, hata Oysterbay nako barabara zilikuwa nyakanyaka.

Mbezi Beach ile niliyoiacha ya mahekalu ya low density, nikategemea nikirudinitaikuta iko soap soap zaidi, kumbe watu wamejenga jenga vibanda holela imekuwakama Uswazi.
 
Bado wazibua Vyoo wakati wa Mvua.................!!!!!
 
Kwa mantiki hii utasema kanisa la Mtakatifu Petro halipo Oysterbay, kwa sababu lilipo kanisa hakuna ghuba.
 
Hata wewe unaonekana choka mbaya tu.
Prove me wrong


Kwani kuna tatizo gani kuwa choka mbaya? Nimesema tu ukiwa choka mbaya usitake kulazimisha kuhamia Mbezi Beach, yapo maeneo ya malow income kama Migomigo, Tabata relini & Co.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…