Ma'Love Dave yake Yamenizidia.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Mimi sio mdau mkubwa sana wa jukwaa hili.Ila leo imenibidi.Nataka nimfikishie kaujumbe ka mapenzi mpenzi wangu pale alipo.Nimenukuu mistari michache toka katika Track kali ya Mwanamuziki wa Kijamaika Busy Signal.Najua ataelewa sababu Kizungu kwake sio tatizo.

"hello baby can u come ova?
right now loneliness taking ova
me need you tonite ya me lovah
come warm me up under the covah
mek we rack til the lampshade turn ova
rub me chest yhu head pon me shouldah
ah mek we listen anita baker
mek love till we wake up the neighbah..."

Nawe pia unaweza ukatupia Mistari michache mitamu ya Mapenzi kwa Mpenzi wako toka katika wimbo wowote.

<font size="3"><span style="font-family:century gothic;">
 
Last edited by a moderator:
santeee..kizungu ujumbe unafika haraka, Mbaraka mwishehe,Marijani Rajabu,Kilwa Jazz hapana!!!!!!!!!!!
 
umenigusaaaje..Girl u r ol i neeed i cant resist uuuu,miss yu miss yu miss yu miss yu bby... Yaaani hii nyimbo,hata mimi bby wngu huniimbia...
 
Kama yame kuzidia anguka chini kuonesha ishara ya kuzidiwa
 
my lov thrz only u in ma lyf the only thng tht flies..,ur evry step tht i make and i want 2 share al my lov with u no one else wil do and ur eyes tells me how much u care...,u wl always b my lover!!
 
umenigusaaaje..Girl u r ol i neeed i cant resist uuuu,miss yu miss yu miss yu miss yu bby... Yaaani hii nyimbo,hata mimi bby wngu huniimbia...
nyimbo zenye matamshi/title ya i miss you zimeimbwa na wanamziki wengi,hii ya kwako imeimbwa na nani heart?
 
nyimbo zenye matamshi/title ya i miss you zimeimbwa na wanamziki wengi,hii ya kwako imeimbwa na nani heart?

Busy signal- miss you
ndo hiyo yamntoa mada hapo juu...ni sweet reggae flan hivi.
 
Cheka ukue mwaya.

Afu huyu 'kadoda moja kwa moja' nilishamuambia abadili jina hili haliendani na nyota yake (I shld stop hanging with MziziMkavu,kha!)
....then start consider on taking sometimes to hang with me:A S-heart-2:.kuhusu kubadili jina mmh!!...acha nitafakari.
 
Where the heck did the copper-copper storm from? Baby-baby wako unataka aniparue makucha eeh?

Hebu badili jina banaa ujiite Mr King'asti (mbona wadada wanajiitaga Mrs Kadoda11?)
....then start consider on taking sometimes to hang with me:A S-heart-2:.kuhusu kubadili jina mmh!!...acha nitafakari.
 
Back
Top Bottom