kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
- Thread starter
- #21
nilikuwa na kauzingizi lakini ghafla kame toweka.Anyway let me put it right king'asti,hayo makopa kopa ni kuonyesha Tunapendana-sio na wewe ila na huyo uliyemtaja.Nitawasiliana na Management ya JF kuona kama itawezekana kubadili ID yangu toka Kadoda11 mpaka Mr.kinga'sti.:redface:Where the heck did the copper-copper storm from? Baby-baby wako unataka aniparue makucha eeh?
Hebu badili jina banaa ujiite Mr King'asti (mbona wadada wanajiitaga Mrs Kadoda11?)