Malori
Joined
Oct 17, 2016
Posts
13
Reaction score
9
⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️

(Umoja wa Madereva Tipa Dodoma)

🚛 Unamiliki Lori la TIPA?

Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamiwe kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu?

⚠️ USIKOSE FURSA HII!

Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga nasi kwa ajili ya:

✅ Kupata kazi kubwa na ndogo (tenda za mchanga, kifusi, kokoto n.k.)

✅ Usimamizi wa uhakika na ufuatiliaji wa kazi zako

✅ Hifadhi ya taarifa na kazi zote zinazofanywa na gari lako

✅ Kulipwa kwa wakati kwa kazi zako

✅ Kuwa sehemu ya mtandao mkubwa wa biashara ya vifaa vya ujenzi

🔧 Faida Unazopata:

🟢 Chama chenye usajili rasmi (Manispaa & TRA)
🟢 Mfumo wa kazi wenye uwazi (hakuna ubabaishaji)
🟢 Malipo ya haki kwa mmiliki na dereva
🟢 Kazi kupitia miradi ya binafsi na ya serikali

📍 OFISI YETU IPO WAZI!

➡️ Msalato A– Dodoma
➡️ Karibu na barabara ya kuelekea Airport

📞 WASILIANA NASI LEO:

📲 0673 654 598
📲 0620 654 597
✉️ Jiunge sasa na tujenge mafanikio kwa pamoja!

UMATIDO – Haki, Uwazi, Kazi Zaidi!
 
Back
Top Bottom