Maliziaa mwenyewee.........

Huwezi jibu kwa kitu kimoja, aman, mgegedo, dini, mapenzi na pesa are but just a few.
 

Mimi nilitaka kukwambia tatizo nina kigugumizi .kigugumizi kinanisumbua ngoja leo niseme tu i i i la la la i i i la lav lav i lav ilav i lav yo i lav yo i lov you .Kigugumizi Kinanisumbua Kweli Kukwambia Sijui Kama Utakuwa Umenielewa.
 
Kitu kitamu si mpaka kionjwe kutumia ulimi??
Au Dinazarde Ulimaanisha nini?
Mie Mgumu Kuelewa Jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…