Malizia sentensi hii uonavyo...

Kila mmoja akachukua Kitabu cha Nyimbo na tukaanza kuimba waimbo wa "Bwana U sehemu yangu na rafiki yangu wewe katika safari yangu nitatembea na wewe"
 
Tukawakuta ndo wananawa baada ya kumaliza kula!
 
Akaanza kutapika pombe yote niliyomnunulia kwa ulafi wake.
 
si wakaanza kuimba,....happy birthday to you,happy birthday to you.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…