Malizia methali hii...

Malizia methali hii...

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Jogoo la shamba .................................................
Je ni kweli? nipe jibu .......................................................... naondoka zangu kwenda shamba kesho nikute majibu tena nyie mnaojifanya wajanja wa Daisalamu!
 
"HAWEKI MJINI"

Sio hawiki mjini.
 
Jogoo la shamba .LAFAA KWA SUPU...
Je ni kweli? nipe jibu .......................................................... naondoka zangu kwenda shamba kesho nikute majibu tena nyie mnaojifanya wajanja wa Daisalamu!
 
Jogoo la shamba .................................................
Je ni kweli? nipe jibu .......................................................... naondoka zangu kwenda shamba kesho nikute majibu tena nyie mnaojifanya wajanja wa Daisalamu!
Jogoo la shamba...Zuri sana kwa supu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom