malizia hii story

malizia hii story

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
hapo zamani za kale palitokea................
 
....Kulitokea wazazi wawili walio mzaa mtoto mmoja wa kiume nae hakuwa na kichwa, baada ya kumfanyia oparesheni,madaktari waliwataka wazazi wa mtoto wakubali mtoto wao awekewe boga ili ndo liwe kichwa. Wazazi wa mtoto wakakubaliana na Madaktari baada ya muda mtoto alikuwa na kuwa m2 mzima na kuwa kiongozi mkuu wa kaya ya wadanga....k. Hadith yangu haijaishia hapa, mwingne aendelee....
 
......kiongozi huyo alipenda sana safari za nje kuliko kukaa nchini mwake,kutokana alikuwa anatumia boga km kichwa alikuwa dhaifu sana........
 
udhaif wake ukapelekea had anaowaongoza kuamua kuvunja ukimya na kusema kaya imemshinda labda arud kubwaga moyo maana...
 
...halafu washauri wake wakawa wanafikiri na kutoa maamuzi kwa kutumia masaburi...
 
Na akawa anashangaa kwa nini pale anapoishi eti umasikini hajui unatokea wapi?
 
Na hadithi yetu ikaishia hapo hapo.... Ehee! Hadithi yetu imetufundisha nini??
 
Na hadithi yetu ikaishia hapo hapo.... Ehee! Hadithi yetu imetufundisha nini??
 
Haa! Imetufundisha kuwa yote ni ya hapo zamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom