Maliza basi nimechoka!

Maliza basi nimechoka!

Ya nini niende park isiyokua na unique atraction,,,,, ni bora nibadili direction.
 
Huyo haenjoy chochote angekuwa anaenjoy msingekuwa mnalala...! Ile makitu tamu bwana asikuongopee mtu

Kulala lazima tulale ila mtu unalala huku unasikitika na kugugumia kiroho roho....! Huku roho inaumaaaa! Kunakucha
 
Sometimes bana mnakera hakuna cha kubembeleza, mahaba sifuri si unajua tena sie na mood swings et al,
Mtu yuko resi utadhani mashindano fulani hivi basi unamuachia tuuu ili ajione mshindi ....maliza haraka nilale basi. :juggle:

ID yangu imekukumbusha wepi tena Mgirik.... Nihadithie kiduchu

lakin kwann usimwambie ukweli mwenzio kama kweli unampenda?! Unajua binadam tunatofautiana uelewa wa mambo haya. Badiliken na nyie sio mnatoa tu misauti ya uongo tena ya uiz ayah!! Hyo id ntakuhadithia sk nyingne
 
Umeona eeh.... unafanya tu bora liende na vilio vya uongo uongo..basi he anaona kapatiiiiiaaaa

tutafika tu. Lengo si kuridhika mm ww ukiniletea uongo wako poa ila mm tayar nishamaliza kwako kesho nampigia hesabu mwingne
 
Tena usiombe awe anatiririka jasho wakat wa ile shughuli,unaeza ukalia,ebu malizia huko nkaoge,unachmba sana unadhan utakutana na madin!duh..
 
Tena usiombe awe anatiririka jasho wakat wa ile shughuli,unaeza ukalia,ebu malizia huko nkaoge,unachmba sana unadhan utakutana na madin!duh..

Hahahaaa...kweli kabisa. Aaaachhhh....
 
Kwa kweli ukimkuta ambaye hajui kazi ni bora ukamuomba amalize ulale kabla hujatoka lengelenge za k!
 
Tena usiombe awe anatiririka jasho wakat wa ile shughuli,unaeza ukalia,ebu malizia huko nkaoge,unachmba sana unadhan utakutana na madin!duh..

ila wanawake wana roho mbaya na ngumu...usikute huyo ndio mumeo ambaye mwaka wa sita unalala nae kitanda kimoja
 
for the first time nasikia bao la kwanza mtu kachoka..

dalili za uchafuzi hizo... kuleni kabla basi mpunguze uchovu asije akakufia kifuani mtoto wa watu...

jaribu kumsakia mpenzi wako vyakula vya kum-tia nguvu mwilini kabla hujam-tia adabu..

halafu na siku nyingine muwe mnabadili mazingira ya kugegedeana bana!

vitanda vya springi na kwichi kwichi zake vinachosha mbavu na kiuno aisee!!!

make it even in the kitchen, sebuleni, and anywhere where you are free to suck! lols..
 
for the first time nasikia bao la kwanza mtu kachoka..

dalili za uchafuzi hizo... kuleni kabla basi mpunguze uchovu asije akakufia kifuani mtoto wa watu...

jaribu kumsakia mpenzi wako vyakula vya kum-tia nguvu mwilini kabla hujam-tia adabu..
Excel sometimes sio kuwa amechoka but she doesn't feel the man..so anaona usumbufu tu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom