Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Mi
Mi namskiliza lakini namuona ni mweupe analzimisha tu point ambazo hazipo na mohamehedi amembana mwisho akakili kuwa rais amefanya vitu vingi ndani ya mwaka mmoja. Kumbe jamaa ni kiazi hivyo!!!
Kuzidi Nyumbu wote wa Buku Saba LumumberNi Malisa G mchambuzi wa siasa za Tanzania kijana mwenye IQ kubwa
Nafuu kuliko SAUT.. Wenye Subsidiary wengi walienda SAUT..Udom nacho ni chuo?
Udom kwa vileza?Kumbe alisoma Sauti.. Hakua na uwezo basi.. Sauti duuh.. Alishindwa ata kwenda Udom au Sua..
Udsm afundishwe na doktari baner? Afadhali kusoma njuweniKumbe kasomea SAUT alah!!! Mie nilidhani kichwa cha UDSM au kidogo Mzumbe.
Dr bana na kitila wa actUdsm afundishwe na doktari baner? Afadhali kusoma njuweni
Bado hujamkumbuka vizuri endelea kuvuta kumbukumbu.OK.Ni yule Kada wa CDM mfia Chama asiyekubaliana na kuletwa kwa Lowassa na kufukuzwa kwa Dr. Slaa!! Nimemkumbuka sasa!!
Vyote viwili ulivyovitaja vinamuhusu haswaa.Sasa Malisa ana IQ au ni kada wa chadema
Mnyukano wa nani na nani sasa!Ngoja tusikilize huu mnyukano
Andika na wewe tuone.Ndio nami nashangaa. Watu wanafikiri kuandika ovyo ovyo na kila wakati ndio IQ kubwa.
Sema kijana wa machadema, sio mchambuzi wa siasa bali mpiga upati wenu.Ni Malisa G mchambuzi wa siasa za Tanzania kijana mwenye IQ kubwa
Vipi IQ yako na ya huyo mfia chadema zinalingana?Kwa hio iq yako na ya Malisa vinalingana?
Acha uzembe.Hi saut nacho ni chuo kikuu cha kutoa great thinker. Mi nachojua wanaoenda huko wote wana div 3 hakuna mwenye div 1 anafikilia kwenda saut
MTU makini kama Dr. Slaa hawezi kuleta MTU Mgombea mwenye rekodi isiyoridhisha kwenye Chama tena akiwa amemtangaza kwa Ufisadi miaka 8. Tamaa za Mbowe na Viongozi waliojali maslahi yao ndio wamekiua Chama na hakitaibuka tena masikini! Sijui wanajisikiaje kukaa meza moja na MTU waliyemchafua?? Hata aibu hawana!!Aliletewa au alishiliki kuleta??.
Tathimini ya mwaka mmoja wa magufuli vitu vingi vipo kombo kwa 90%
acha kukariri mambo yasiyo na maana.Kumbe kasomea SAUT alah!!! Mie nilidhani kichwa cha UDSM au kidogo Mzumbe.
Unakuwa mchambuzi wa siasa kwa kuegemea upande mmoja???Ni Malisa G mchambuzi wa siasa za Tanzania kijana mwenye IQ kubwa
Hivi wale vilaza waliofukuzwa na serikali ya ccm walikuwa wa chuo gani vileNafuu kuliko SAUT.. Wenye Subsidiary wengi walienda SAUT..
IQ ni nini?Unakuwa mchambuzi wa siasa kwa kuegemea upande mmoja???
Kama unajua kuwa mchambuzi wa siasa anaegemea upande mmoja basi una IQ ndogo
Rudi darasani