Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
hahahaaa. Umenena mkuu.wanajadili makabila karne hii??
Utadhani wanataka kutambika!!
hahahaaa. Umenena mkuu.wanajadili makabila karne hii??
Here we GO... Wachagga ni zaidi ya Makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui Unaongelea nini... Umeona wanautaka Urais Zaidi ya KIKWETE na Benard Membe???
kaka mbona unakua mkali,...pambana kwa hoja
Leadership is a charisma, huwezi kumlazimisha ------ kuwj charismatic kama hakuzaliwa hivyo.So stop blaming Chaggas who were born charismatic.Amka.
Hata akigombea Udiwani ataambulia patupu make Moshi hawawezi kupitisha Gamba.
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha SAUT Mwanza Bw. Malisa Godlisten amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la tar.13/03/2013 kuwa hana mpango wa kugombea ubunge mwaka 2015.
Gazeti hilo ambalo lilifanya mahojiano na Malisa na kuandika makala ndefu kuhusu maisha yake ya uongozi, alisema anaweza kufikiria kugombea udiwani nafasi itakayompa fursa ya kugombea umeya wa manispaa ya Moshi.
Alisema sababu kubwa ya kugombea umeya ni kutaka kuifanya Moshi kuwa manispaa ya mfano katika maendeleo. Aidha aliwaasa wasomi waache kukimbilia zaidi ubunge na wawaze zaidi kufanya mabadiliko katika serikali za mitaa kwanza.
SOURCE: MWANANCHI.
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha SAUT Mwanza Bw. Malisa Godlisten amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la tar.13/03/2013 kuwa hana mpango wa kugombea ubunge mwaka 2015.
Gazeti hilo ambalo lilifanya mahojiano na Malisa na kuandika makala ndefu kuhusu maisha yake ya uongozi, alisema anaweza kufikiria kugombea udiwani nafasi itakayompa fursa ya kugombea umeya wa manispaa ya Moshi.
Alisema sababu kubwa ya kugombea umeya ni kutaka kuifanya Moshi kuwa manispaa ya mfano katika maendeleo. Aidha aliwaasa wasomi waache kukimbilia zaidi ubunge na wawaze zaidi kufanya mabadiliko katika serikali za mitaa kwanza.
SOURCE: MWANANCHI.
Here we GO... Wachagga ni zaidi ya Makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui Unaongelea nini... Umeona wanautaka Urais Zaidi ya KIKWETE na Benard Membe???
Usihamaki mkuu huku jf utani kibaoHere we GO... Wachagga ni zaidi ya Makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui Unaongelea nini... Umeona wanautaka Urais Zaidi ya KIKWETE na Benard Membe???
Inaudhi sana tena sana watu karne ya 21 tunazungumzia ukabila tuu!! Tubadilike....
Kama ni jimbo la Ndesa pesa anjua hawezi pata asitucheze shere...
Hata akigombea Udiwani ataambulia patupu make Moshi hawawezi kupitisha Gamba.
Duh! Kumbe Gamba!
Godlisten ni kamanda wa chadema pure.
thibitishamoshi bwana kila mchaga anataka kuwa kiongozi kazi ipo
Huyu atakuwa mchagga wa kwanza kuikataa pesa na sidhani kama huu msimamo wa 2013 bado anao..