Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha SAUT Mwanza Bw. Malisa Godlisten amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la tar.13/03/2013 kuwa hana mpango wa kugombea ubunge mwaka 2015.
Gazeti hilo ambalo lilifanya mahojiano na Malisa na kuandika makala ndefu kuhusu maisha yake ya uongozi, alisema anaweza kufikiria kugombea udiwani nafasi itakayompa fursa ya kugombea umeya wa manispaa ya Moshi.
Alisema sababu kubwa ya kugombea umeya ni kutaka kuifanya Moshi kuwa manispaa ya mfano katika maendeleo. Aidha aliwaasa wasomi waache kukimbilia zaidi ubunge na wawaze zaidi kufanya mabadiliko katika serikali za mitaa kwanza.
Chanzo: MWANANCHI.