Malipo yapoje katika njia ya Western Union - Nini nizingatie?

Salum mgombe

Member
Jan 14, 2020
22
12
Habari wakuu.. Kama inavoonesha hapo katika kichwa cha habari.

Nimetimiza pesa yangu katika Adsense na nataka kuitowa kwa njia ya Western Union, Swali langu je nini chakuzingatia mpaka pesa inifikie?

Na ikishanifikia naenda kwa agent na kumpa vielelezo gani ili anipe pesa yangu cash?

Nitagurahi kuelimika hapa JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnavyojua ni lazima uandike Real name ambayo ipo katika ID yako (passport, National ID or Voter ID) kisha hyo karatasi ikishafika utaenda na Moja kati ya hzo ID kwa wakala wa western Union (Posta Mpya, Ubungo plaza etc) Kinachoendelea c wajibu wako tena utasubr upewe kinachokuhusu

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom