Ndugu wana JF,naomba kufahamu kuhusu malipo ya star times,kwani nasikia waweza lipia kwanzia 500 na kuendelea vipi hili lina ukweli ndani yake?,kwani kwa sasa si kukuza kwa vyuna tu hata pesa zimeota mbawa.
Ndugu wana JF,naomba kufaham kuhusu malipo ya star times,kwani nackia waweza lipia kwanzia 500 na kuendelea vipi hili lina ukweli ndani yake?,kwani kwa sasa si kukuza kwa vyuna tu hata pesa zimeota mbawa.